Uncategorized

WATANZANIA WATWAA KOMBE LA KWANZA MBELE YA UD SONGO YA MSUMBIJI

admin February 4, 2020 11:09 am

MOSES Kitandu na Eliuter Mpepo wametwaa Kombe la Ngao ya Hisani kwa kuitungua UD Songo ya Msumbiji kwa penalti.
Mpepo na Kitandu ambao ni raia wa Tanzania wanakipiga ndani ya Klabu ya CD Coasta do Sol ya Msumbiji.

Kwenye mchezo huo ndani ya dakika tisini walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 hali iliyopelekea kuoigwa mikwaju ya penalti na timu ya Watanzania hao kushinda kwa penalti 7-6.

Kitandu amesema kuwa ni mwanzo mzuri kwake pamoja na Mpepo wataendelea kupambana kufikia malengo yao.

MHILU, NYOTA WA KAGERA SUGAR ANAYEFIKIRIA KUUNJA UTAWALA WA KAGERE REKODI ZA KOCHA MKUU WA AZAM CIOABA ZIPO NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply