Uncategorized

AZAM FC YATUMA UJUMBE HUU KWA TANZANIA PRISONS

admin February 5, 2020 7:09 am
AZAM FC, leo  Februari,5 itakuwa Uwanja wa Taifa saa 10:00 Jioni kumenyana na Tanzania Prisons mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Februari,2 ilianza kwa sare ya kufungana bao 1-1 mbele ya Mbeya City, Uwanja wa Samora.
Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa wanatambua wana kibarua kizito leo ila watapambana kupata matokeo mazuri.

“Kazi ni nzito na ushindani ni mkubwa, wachezaji wapo sawa na wanatambua kazi yao ni kutafuta matokeo uwanjani, mashabiki wajitokeze kwa wingi kutupa sapoti,” amesema,

Azam FC ipo nafasi ya pili ikiwa imecheza jumla ya mechi 18 imejikusanyia pointi 37,
MNAOCHIPUKIA MSIZIPE NAFASI PROPAGANDA ZA HUMUD WA MTIBWA SUGAR KOCHA SIMBA AELEZA KINACHOMSUMBUA KUHUSIANA NA SAFU YA USHAMBULIAJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply