Uncategorized
HIZI HAPA LEO TIMU 14 UWANJANI KUSAKA POINTI TATU
LIGI Kuu Bara leo Februari,5,2020 inaendelea na leo timu 14 ziakuwa kazini kuzisaka pointi tatu muhimu.
Ratiba yao ipo namna hii:- Namungo v Alliance, Majaliwa.
Ndanda v Mbao, Nangwanda.
Mbeya City v KMC, Samora.
Kagera Sugar v Mwadui, Kaitaba .
Ruvu V Mtibwa Sugar, Mabatini
Azam v Prisons,Taifa, Saa 10:00 Jioni
Yanga v Lipuli, Taifa, Saa 1:00 Usiku
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.