Uncategorized

MBELGIJI WA YANGA AZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA LIPULI

admin February 5, 2020 12:09 pm


LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kupata ushindi mbele ya Lipuli ya Iringa.

Yanga itacheza na Lipuli majira ya saa 1:00 usiku, Uwanja wa Taifa ikiwa ni mchezo wao wa kwanza msimu kukutana mzunguko wa kwanza.

“Hakuna kitu kizuri ambacho tunafikiria zaidi ya kupata matokeo mazuri,tunatambua kwamba mashabiki wanahitaji matokeo nasi pia tunapenda kuona timu inashinda,” amesema. 

 Mchezo wa mwisho walishinda bao 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa na bao la ushindi lilifungwa na David Molinga aliyemalizia pasi ya Ditram Nchimbi dakika ya 50.

SINGIDA UNTED: MWISHO WA MAUMIVU YETU UNAKUJA, MASHABIKI SAPOTI MUHIMU SASA KICHUYA NDANI YA SIMBA MAMBO SAFI, HATMA YAKE MIKONONI MWA KOCHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply