Uncategorized

SANE AINGIA ANGA ZA JUVENTUS

admin February 5, 2020 1:39 pm

TIMU ya Juventus inafikiria kuinasa saini ya winga wa Manchester City, Leroy Sane.
Nyota huyi ambaye ni raia wa Ujerumani pia amewekwa kwenye rada za Bayern Munich ambao kwa muda mrefu walikuwa wanahitaji kuipata saini yake.kabla hajapata majeruhi kwenye mchezo wa ngao ya Jamii mwezi Agosti.
Tayari imeelezwa kuwa Bayern Munich wapo kwenye mpango wa kurejea mezani kuipata saini ya nyota huyo na inaelezwa itakutana na upinzani mkubwa kutoka kwa timu nyingine zinazoiwinda saini ya mchezaji huyo.
MBEYA CITY YAZITAKA POINTI TATU ZA KMC KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA LIPULI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply