Uncategorized

KAGERA SUGAR YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA NIZAR KHALFAN KWA PIGO ALILOPATA

admin February 10, 2020 1:48 pm


Uongozi wa Kagera Sugar FC umetuma salamu za pole kwa mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania, Nizar Khalfan kutokana na kufiwa na mke wake.

Nizar anayekipiga kwa sasa Rhino Rangers amepatwa na msiba huo jana, Jumapili, wakati timu yake ilipokuwa kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza dhidi ya Sahare.

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wameguswa na msiba huo na kumuombe kheri katka kipindi hiki kigumu.

 Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Rhino Rangers, Bakari Malima amesema kuwa taarifa alizokuwa anazitambua kuhusu ugonjwa aliokuwa anasumbuliwa nao mke wa Nizar ni ‘stroke’.

CHIRWA ABEBESHWA BONGE MOJA YA ZIGO HUKO AZAM FC MBELGIJI WA SIMBA ATOA KAULI YA KISHUJAA, WAAMUZI WATAJWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply