Uncategorized

BABA DIAMOND ATUMA MAAGIZO KWA MWANAYE

admin February 11, 2020 4:17 am

Baada ya tetesi kuzagaa kuwa mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ndiye chanzo cha staa huyo kubadili wanawake kama nguo, baba yake mzazi, Abdul Juma amemtaka kuchagua mwanamke wa kumuoa.

Akistorisha na Amani, Baba Diamond alisema muoaji ndiye anayetakiwa kuchagua mwanamke wa kuoa mwenyewe, hivyo Diamond asikubali kuchaguliwa au kuyumbishwa na mtu yeyote kuhusu mwanamke wa kumuoa.
MTAZAME BISHOO NEYMAR, NI ZAIDI YA UMJUAVYO SERGIO AGUERO YEYE NA MITUZO TU, REKODI YAKE KIBOKO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply