Uncategorized

NYOTA HUYU CIRO NI BALAA, ANAMNYIMA USINGIZI CR 7

admin February 11, 2020 7:53 am

CIRO Immobile anakipiga ndani ya Lazio inayoshiriki Serie A ni mbabe wa kucheka na nyavu.

Ametupia jumla ya mabao 25 ndani ya Ligi hiyo akimtupa kwa mabao matano Cristiano Ronaldo wa Juventus mwenye mabao 20.


Huyu ni mshambuliaji mweye miaka 29 anayemyima usingizi CR 7.

Nyota huyo pia sio mchoyo ametoa jumla ya asisti 6 zilizoleta mabao.

Amecheza dakika 1,922 ana wastani wa kutupia bao moja kila baada ya dakika 77.

LIGI KUU BARA LEO IMECHI ZAKE HIZI HAPA MTANZANIA MWENGINE AIBUKA MSHINDI WA JACKPOT YA SPORTPESA YA MILIONI 437,631,320

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply