Home Uncategorized TAMKO LA JPM JUU YA WALIOJENGA MABONDENI – VIDEO Uncategorized TAMKO LA JPM JUU YA WALIOJENGA MABONDENI – VIDEO By admin - February 11, 2020 0 RAIS John Magufuli amewataka wananchi wote wote wanaojenga kwenye mabonde waache na waondoke wenyewe, wayaachie maji yapite na mabonde yatumike kwa ajili ya kulisha mifugo na kulima lakini si kwa ajili ya makazi.