Uncategorized

SIMBA KUIFUATA LIPULI YA IRINGA LEO

admin February 13, 2020 6:07 am


BAADA ya kikosi cha Simba kupata ushindi wa mabao 3-0 mbele ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri Morogoro, leo kinaifuata Lipuli, Iringa.

Simba ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 53 watakaribishwa na Lipuli Februari 15, Uwanja wa Samora.

Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Simba ilishinda kwa mabao 4-0 jambo litakalofanya mchezo uwe wa kisasi kwa Lipuli.

Lipuli ipo nafasi ya 9 ikiwa na pointi zake 29 kibindoni zote zimecheza mechi 21.

HIVI NDIVYO ABAROLA WA AZAM ALIVYOWANYIMA POINTI WAPINZANI WAKE KWA KUOKOA PENALTI AZAM FC YATUMA UJUMBE KWA WAPINZANI WAO COASTAL UNION

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply