Home Uncategorized VPL: SIMBA 0-0 KAGERA SUGAR Uncategorized VPL: SIMBA 0-0 KAGERA SUGAR By admin - February 18, 2020 0 Kipindi cha Kwanza: Simba 0-0 Kagera SugarUwanja wa TaifaMchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa ni kati ya Simba na Kagera Sugar.Kwa sasa ni kipindi cha kwanza, mashabiki wamejitokeza kushuhudia mchezo huu wa kukata na shoka.