Uncategorized

KOCHA STARS ATAJA KINACHOHITAJIKA NDANI YA TIMU ILI KUPETA CHAN

admin February 21, 2020 3:22 am


ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kikubwa kinachohitajika kwenye mashindano ni maandalizi mazuri.

Stars inashiriki michuano ya CHAN ikiwa kund D lenye timu nyingine ambazo ni Guinea, Zambia na Namibia yatafanyika mwezi Aprili nchini Cameroon.

“Maandalizi mazuri yanahitajika kwa ajili ya ushindi kwenye mashindano yetu nina amini kwamba kila kitu kitakuwa sawa na tupo tayari kwa ajili ya ushindani,” amesema.

Michuano ya CHAN inahusisha Wachezaji wanaocheza katika vilabu vya ndani kwa Afrika.

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA AZAM SASA HASIRA ZA SARE MBELE YA NDANDA KUHAMIA KWA NAMUNGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply