Uncategorized

COASTAL UNION YAIPIGA MKWARA YANGA

admin February 23, 2020 1:41 am


JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa timu ya Coastal Union amesema kuwa wachezaji wake wapo sawa na watapambana leo mbele ya Yanga kusepa na pointi tatu.

Mgunda amesema kuwa:-“Tulipomaliza mchezo wetu mbele ya Ruvu Shooting kazi ya kwanza ikawa kuyafanyia kazi makosa yetu na kupiga hesabu kwa ajili ya mchezo wetu unaofuata.

“Makosa yote yalikuwa juu yangu nimewaambia vijana namna ya kufanya matumaini yangu na timu kiujumla kuona inapata matokeo mbele ya wapinzani wetu mashabiki watupe sapoti,”.

Mchezo wao utachezwa leo Uwanja wa Mkwakwani Tanga majira ya saa 10:00.

MIRAJ ATHUMAN WA SIMBA HIKI NDICHO ANACHOKIFIKIRIA YANGA YAKUTANA NA RUNGU HILI KUTOKA TFF

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply