Uncategorized

MTIBWA SUGAR YAKIRI MAMBO SI SHWARI, YAOMBA SAPOTI YA MASHABIKI

admin February 26, 2020 1:44 am


UONGOZI wa Mtibwa Sugar umewaomba mashabiki kuendelea kuipa sapoti timu hiyo licha ya kupitia kipindi cha mpito kwa sasa.

Februari, Mtibwa imecheza mechi saba haijafunga bao kwenye mechi zote hizo zaidi ya kuambulia sare moja na kupoteza sita. Mchezo wake wa mwisho ilifungwa bao 1-0 na Mbeya City Uwanja wa Sokoine.

Zuber Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa kufungwa haimaanishi ndio mwisho wa mahesabu bado kuna kazi inaendelea kufanyika.

“Ninawaomba mashabiki waendelee kuipa sapoti timu kwani kwa sasa inapitia kipindi cha mpito, kufungwa haina maana kwamba usiendelee kupambana hapana kazi lazima iendelee,” amesema.

ZINEDINE ZIDANE AMPA TANO GUARDIOLA ASEMA HANA HOFU JUU YA KUKUTANA NAYE KWA KUWA ANA VINGI ANAJIFUNZA KWAKE SALAH ATABIRIWA KUSEPA NDANI YA LIVERPOOL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply