Uncategorized

SIMBA: MAMBO BADO KWA SASA, TUTAENDELEA KUPAMBANA KUFIKIA MALENGO

admin February 26, 2020 6:14 am


CLATOUS Chama, kiungo ndani ya Simba amesema kuwa watapambana kufikia malengo waliyojiwekea ndani ya Simba kwa pamoja.

Chama jana alikuwa miongoni mwa wachezaji wa kikosi kilichoshinda mbele ya Stand United kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho mbele ya Stand United Uwanja wa Kambarange.

Ndani ya dakika 90 Simba ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na ilipenya kwa penalti 3-2 imetinga hatua ya robo fainali.

“Tuna kazi kubwa ya kufanya kwenye mashindano ambayo tunashiriki na hapa ambapo tupo kwenye Kombe la Shirikisho, imani yetu ni kuona tunafanya vizuri na kupata matokeo, mashabiki watupe sapoti,” amesema.

CHELSEA KIBARUA KIZITO SASA KWA BAYERN, HUYO SERGE NI NOMA YANGA YATAJA SABABU KUBWA SITA ZA KUIFUNGA GWAMBINA LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply