Uncategorized

JEMBE LA MTIBWA SUGAR LIMERUDI, RASMI KUANZA KAZI KESHO

admin February 27, 2020 8:14 am

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa nyota wao Salum Kihimbwa amerejea rasmi uwanjani kutokana na kupona majeraha yake.

Kihimbwa alikuwa nje ya kikosi hicho cha Mtibwa kilicho chini ya Zuber Katwila tangu Februari 2.

Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa wana imani anaweza kucheza mchezo wa kesho dhidi ya Ndanda FC.

Kwenye mechi saba ambazo Mtibwa Sugar wamecheza mwezi Februari imekuwa ngumu kufurukuta kwa kupata matokeo kwani wamepoteza mechi sita na kuambulia pointi moja.

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU PENALTI MBILI ZA KAGERE ABALORA KIKWAZO NAMBA MOJA KWA IHEFU KUTINGA ROBO FAINALI FA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply