Uncategorized

SIMCHIMBA AIOKOA AZAM FC USIKU MIKONONI MWA JKT TANZANIA

admin February 29, 2020 10:48 pm


ANDREW Simchimba, mshambuliaji wa Azam FC jana ameiokoa timu yake usiku kuweza kusepa na pointi tatu mbele ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Bao hilo la ushindi lilifungwa dakika ya 90 na kuifanya JKT ipoteze matumaini ya kusepa na pointi moja kwenye mchezo huo ambao wao walikuwa wenyeji.

Azam FC inafikisha pointi 48 ikiwa imecheza mechi 25 inajikita nafasi ya pili huku kinara akiwa ni Simba mwenye pointi 62.

SINGIDA UNITED: TULIPASWA TUIFUNGE MABAO 5-0 POLISI TANZANIA, MAMBO BADO MAGUMU MSIMAMO WA LIGI KUU BARA HUU HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply