Uncategorized

MKAKATI MKUBWA WA AZAM FC KUINYOOSHA SIMBA JUMATANO UMEJIFICHA KWA HAWA

admin March 1, 2020 11:19 pm


UONGOZI wa Azam FC umewataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Taifa, Jumatano ya Machi 4 kuipa sapoti timu hiyo itakapomenyana na Simba ili kuwapa nguvu ya kushinda mbele ya wapinzani hao.

Mchezo huo utakuwa wa pili wa ligi ikiwa na kumbukumbu ya kuchapwa bao 1-0 Uwanja wa Taifa kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza.

Bao pekee la ushindi lilifungwa na Meddie Kagere kwa kichwa akimalizia pasi ya Francis Kahata.Utachezwa majira ya saa 1:00 usiku.

Idd Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa miongoni mwa nguzo muhimu kwa timu ni mashabiki hivyo kujitokeza kwao kwenye mechi kunawapa nguvu ya kupambana.

KMC: HATUKUPANGA KUAMBULIA POINTI MOJA TULITAKA POINTI TATU JOTO LA MECHI YA YANGA V SIMBA ISIWE CHANZO CHA KUBORONGA, VIINGILIO VIWE RAFIKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply