Uncategorized

YANGA YAFICHUA SIRI YA USHINDI KWA ALLIANCE

admin March 1, 2020 6:48 am

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa siri kubwa ya ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Alliance ni wachezaji wake kufuata maelekezo aliyowaambia mwanzo na juhudi zao binafsi.

Yanga ilishinda mbele ya Alliance na mfungaji wa mabao akiwa ni Ditram Nchimbi aliyefunga mabao hayo yalioipa pointi tatu Yanga.

Eymael amesema:”Kazi ya wachezaji ilikuwa kubwa na kila mmoja ametimiza majukumu yake nina amini kwamba kazi niliyowapa wameitimiza na kufuata maelekezo niliyowapa ndio kilichobeba ushindi wetu,”.

Yanga inafikisha pointi 44 ikiwa nafasi ya nne na imecheza mechi 23 ndani ya ligi.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI AJIBU AMTIA HOFU MLINDA MLANGO HUYU LIGI KUU BARA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply