Uncategorized

KUMEKUCHA JANGWANI, HAWA HAPA PANGA LINAWAHUSU JUMLAJUMLA

admin March 14, 2020 10:22 pm

ERICK Kabamba, Yikpe Gnamien,David Molinga, ni miongoni mwa wachezaji wa kigeni ambao wanajadiliwa na uongozi wa Yanga ili kujua hatma yao ndani ya kikosi hicho ambacho kinaelekea kufanya mabadiliko makubwa.

Habari zinaeleza kuwa licha ya Molinga kuwa mfungaji namba moja wa kikosi hicho bado, Kocha Mkuu Luc Eymael hajaelewa mchango wake akiwa uwanjani jambo linalompasua kichwa.

“Kuna wachezaji ambao wataondoka baada ya msimu wa Ligi Kuu Bara kuisha kinachosubiriwa ni ripoti kutoka kwa kocha atakachokisema ndicho kitafanyika lakini kwanza tuwatazame kwa muda huu,” kilieleza chanzo hicho.

Yanga ikiwa imecheza mechi 26 imefunga mabao 30 na kinara wa kutupia ni Molinga mwenye mabao 8 akifuatiwa na Patric Sibomana mwenye mabao matano.

HASIRA ZA KADI NYEKUNDU YA BOBAN, MABAO 8 YA SIMBA KWA SINGIDA UNITED ZIMEISHIA KWA MBEYA CITY MZUNGU WA AZAM FC ALIA NA UBUTU WA SAFU YA USHAMBULIAJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply