Uncategorized

MZUNGU WA AZAM FC ALIA NA UBUTU WA SAFU YA USHAMBULIAJI

admin March 15, 2020 2:22 am
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wake wanashindwa kutumia nafasiwanazozipata jambo linalowapa ugumu kusepa na pointi tatu.
Azam FC imefunga  mabao 37 kwenye mechi za Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2019/20 huku mbaya wao wa kutupia akiwa ni Obrey Chirwa mwenye mabao nane.
Safu hiyo ushindi wake mkubwa iliyopata ni mbele ya Alliance FC ambapo walifunga mabao 5-0.
Cioaba amesema kuwa washambuliaji wake wanapoteza nafasi nyingi wakiwa ndani ya 18 jambo linalowafanya washinde kwa mabao machache kwenye mechi zao za ligi.
KUMEKUCHA JANGWANI, HAWA HAPA PANGA LINAWAHUSU JUMLAJUMLA MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI, NDINGA UNAKAMATA KWA JERO TU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply