Home Uncategorized BARCELONA SASA KUMUUZA NYOTA WAO GRIEZMANN ILI KUPATA MKWANJA

BARCELONA SASA KUMUUZA NYOTA WAO GRIEZMANN ILI KUPATA MKWANJA

BARCELONA ipo tayari kumuingiza sokoni mshambuliaji Antoine Griezmann lengo likiwa ni kupata kipato kwa ajili ya usajili ujao.

Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa Covid 19 vimesitisha shughuli nyingi za soka duniani ikiwa ni pamoja na Hispania na Ulaya kiujumla .

Barcelona ilimsajili nyota huyo kutoka Atletico Madrid msimu huu kwa pauni 108 milioni.

Inaelezwa kuwa vigogo wa Barcelona wapo tayari kumuuza kwa kuwa uchumi wao umeyumba kwa sasa kipindi hiki cha Corona.

SOMA NA HII  RONALDO AWEKA REKODI YA KIBABE