Uncategorized

NGULI WA UNITED ATAJA KINACHOMBEBA BRUNO FERNANDES

admin March 25, 2020 7:04 am


BRUNO Fernandes, nyota wa Manchester United amekuwa msaada mkubwa ndani ya Klabu hiyo kwa sasa.

Nguli wa zamani wa Klabu ya Manchester United Bryan Robson amepongeza uwezo wa nyota huyo huku akitaja sababu inayombeba mshambuliaji huyo.


 “Nafikiri kinachosaidia ni kuwa alikuwa nahodha wa Sporting uongozi ni kitu ambacho unakuwa nacho pia kipaji alichonacho kinambeba. 

“Anaweza kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja, kushambulia, kufunga na kutengeneza mashambulizi anapenda kazi yake na anapenda kuona wenzake wakiiga kile anachofanya,” amesema.

Fernandes amefunga mabao matatu na kutoa pasi nne akicheza mechi tisa ndani ya United.

GADIEL MICHAEL: KUNA USHINDANI MKUBWA WA NAMBA SIMBA BARCELONA SASA KUMUUZA NYOTA WAO GRIEZMANN ILI KUPATA MKWANJA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply