Uncategorized

CORONA YASIMAMISHA TAJI LA TISA LA JUVENTUS IWAPO WANGELITWAA

admin March 30, 2020 11:21 am


KWENYE Serie A wakati ligi hiyo ikiwa imesimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, vinara walikuwa ni Juventus.

Hivyo Virusi vya Corona vimesimamisha taji la tisa la Juve iwapo wangepambana na kulinyakua msimu huu ambapo mshambuliaji wao CR anaongoza ndani ya timu hiyo kwa kucheka na nyavu akiwa na mabao 21.

Juve ikiwa imecheza mechi 26 imejiwekea kibindoni pointi 63 na imefunga mabao 50.

Nafasi ya 20 ipo mikononi mwa timu ya Brescia ambayo imecheza mechi 25 na ina pointi 16.

 Juve  imeshinda mataji ya Serie A mara nane mfululizo kama  mambo  yangeishia hivyo basi angetwaa taji la tisa kwa msimu huu.
  

AUBAMEYANG INAONYESHA HANA MPANGO WA KUBAKI ARSENAL HIKI HAPA ANACHOKIFANYA ABDI BANDA KULINDA KIPAJI CHAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply