Uncategorized
BEKI WA LIVERPOOL KUTIMKIA ARSENAL
DEJAN Lovren mwenye miaka 30 beki anayekipiga ndani ya Liverpool huenda akasepa msimu ujao.
Beki huyo amekuwa hana nafasi kwenye kikosi cha kwanza kilicho chini ya Jurgen Klopp.
Inatajwa kuwa Arsenal, Spurs na West Ham zipo kwenye hesabu ya kuwania saini yake.
Timu yake ikiwa imecheza mechi 29 amecheza mechi tisa pekee za Ligi Kuu England na ametoa pasi moja ya bao.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.