Uncategorized

HUSSEIN MACHOZI: CORONA IMETUFANYA TUSHINDE NDANI

admin April 2, 2020 5:44 am


HUSSEIN Machozi Mwana BongoFleva anayeishi Italia amesema kuwa maambukizi ya Virusi vya Corona yamewafanya wajifungie ndani muda mwingi.

Machozi kwa sasa kazi zake za muziki anazifanyia nchini Italia ambapo kumekuwa na ripoti kwamba hali ya maambukizi ni kubwa.

 “Kiukweli hakuna anayethubutu kuchungulia nje, mji wote upo kimya hakuna mtu ambaye yupo mtaani kwa kuhofia kuathirika.

“Polisi nao wapo mtaani wanazunguka wakiwatafuta wale wanaodhurala mtaani ili kuwazuia wasifanye hivyo kwa lengo la kuwalinda wawe salama,” amesema.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMIS TOTTHENHAM, JUVENTUS USO KWA USO KWA KIUNGO WA CHELSEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply