Uncategorized

NYOTA HUYU WA MARSEILLE NI BALAA KWA MIPASI YA MWISHO

admin April 3, 2020 3:44 am

DIMITRI Payet, staa anayekipiga ndani ya Klabu ya Marseille ni balaa kwenye kutengeneza pasi za mwisho.
 Tangu msimu wa 2007/08 Payet amekuwa noma ndani ya Ligue1 kutokana na rekodi zake za asisti.
 Winga huyu ndani ya Ligue 1 amezichezea klabu tofauti na kwa wakati tofauti na kutengeneza rekodi yake ya tofauti.
 Alianza Nantes, kisha Saint Etienne, Lille na sasa anakipiga katika klabu ya Marseille akiwa ndani ya Ligue 1 amekuwa na mchango mkubwa ndani ya timu.
 Kwa muda wote ambao amecheza Ligue 1  mpaka sasa yeye ndiyo kinara wa asisti ndani ya ligi akiwa ametoa asisti 82. 
LIGI KUU BARA 2019/20 HATARINI KUFUTWA NI NDANI YA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA HAWA HAPA MASTAA WATANO WENYE MKWANJA MREFU AFRIKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply