Uncategorized

WOJCIECH MLINDA MLANGO WA JUVENTUS AWEKWA SOKONI

admin April 6, 2020 2:02 pm


WOJCIECH Szczesny mlinda mlango wa Juventus amewekwa sokoni ili kutunisha mfuko wa mabosi wa Juventus. 

Mkataba wa nyota huyo ndani ya Juventus unameguka mwaka 2024 na inaelezwa kuwa hawana dalili za kumuongezea dili jingine.

Miongoni mwa timu ambazo zinaelezwa kuwa zinaweza kusepa na saini yake ni Chelsea pamoja PSG.

Msimu huu kwenye Serie A Juventus ikiwa imecheza mechi 26 amekaa langoni mechi 19.
ZUBER KATWILA: WACHEZAJI NIMEWAPA PROGRAM MAALUM KIBAYA: MUHIMU KUFANYA DUA NA KULINDA KIPAJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply