Uncategorized

NYOTA POLISI TANZANIA SAINI YAKE YAGEUKA DILI

admin April 8, 2020 7:08 am



BARAKA Majogoro kiungo wa Polisi Tanzania saini yake imegeuka lulu kutokana na klabu nyingi kuelezwa kuitaka saini yake.

Polisi Tanzania ipo chini ya Kocha Mkuu, Malale Hamsini ipo nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi zake 45.

Miongoni mwa klabu ambazo zinatajwa kuwania saini yake ni pamoja na Namungo FC, Lipuli FC, Kagera Sugar na Azam FC.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zaka Zakazi amesema kuwa mpango wa usajili kwa sasa bado wakati ukifika kila kitu kitawekwa wazi.

MO RASHID: MUHIMU KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA MBELGIJI WA YANGA ASHIKILIA HATMA YA TSHISHIMBI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply