Uncategorized

WACHEZAJI WA YANGA WATAKAOPUUZIA PROGRAM ADHABU INAWAHUSU

admin April 11, 2020 1:36 pm

CHARLES Mkwasa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wanawafuatilia wachezaji amba hawatafuata program waliyoachiwa adhabu itawahusu.
Benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Luc Eymael waliwapa program hizo wachezaji wote ili kulinda viwango vyao.
Mkwasa amesema:”Wachezaji tunawafuatilia kujua namna gani wanafanya mazoezi na hilo lipo wazi kwani kuna baadhi ambao wamekuwa wakionyesha kwamba wanatekeleza kile walichoambiwa.
“Tumeona kupitia video walizotuma ambao ni Bernard Morrison, Haruna Niyonzima, Papy Tshishimbi, Metacha Mnata, Juma Abdul na Ally Mtoni na wengine pia hivyo tunafuatilia katika hili,”..
NYOTA WA AZAM FC WATUMIWA FEDHA ZA KUNUNULIA VIFAA ILI WAFANYIE MAZOEZI NDANI ISHU YA CHAMA KUTUA YANGA IMEFIKIA HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply