Uncategorized

BABY J AJA NA MKWARA MZITO KWA ATAKAYEMROGA

admin April 15, 2020 1:27 pm

MWANAMUZIKI maarufu wa visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby J’ amesema kuwa zamani watu wengi walikuwa wakipenda kucheza na mwili wake lakini sasa hivi yuko imara sana hakuna wa kumchezea na atakayejaribu, anatafuta kifo.

Akizungumza na Amani, Baby J alisema zamani walitaka kabisa kumfanya kichaa na ndiyo maana akawa asikiki kabisa kwenye muziki, lakini kwa sasa anamshukuru sana Mungu amepona na yuko vizuri.

“Yaani sasa hivi mtu yeyote anayejiweza anisogelee aone balaa lake, maana najua anatafuta kifo kibaya kwa sababu nimejilinda vilivyo,” alisema Baby J.
AUDIO: SIKILIZA HAPA NGOMA MPYA YA IBRAAH KUTOKA KONDE MUSIC AZAM, SIMBA NA YANGA ZAKUTANA KWA MFUMANIA NYAVU NAMBA MOJA LIPULI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply