Uncategorized

MBELGIJI WA YANGA YAMKUTA HUKO, AKWAMA KUTUA BONGO MARA MBILI

admin April 15, 2020 5:27 am
LUC Eymael, Koc

ha Mkuu wa Yanga amekwama mara ya pili kurejea Bongo kutokana na Serikali kuzuia ndege kupaa ili kuzuia maambukizi ya Virusi vya Corona.


Eymael alikwea pipa mpaka nchini kwao Ubelgiji ili akapate mapumziko mafupi pamoja na mpango wake wa kuoa baada ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.

Kocha huyo awali alipanga kurejea Bongo Jumamosi mambo yakawa magumu akajipa muda mambo yakakwama tena.

“Nimeshindwa kurejea Bongo kutokana na Uwanja wa ndege wa huku Ubelgiji kufungwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, hali ikiwa shwari nitarejea kuungana na timu,” amesema.
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA LIPO MTAANI BURE KABISA KIKOSI CHA KWANZA CHA OFISA HABARI WA SIMBA AMTAJA MUUAJI WA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply