Uncategorized

MTIBWA SUGAR: MUHIMU KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA

admin April 15, 2020 5:57 am

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa ni wakati wa kila mmoja kuchukua tahadhari kuhusu Virusi vya Corona kuwa janga la dunia.

Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila amesema kuwa kwa sasa ni jukumu la kila mmoja kuchukua tahadhari ili kujilinda na Virusi vya Corona.

“Ni muhimu kila mmoja kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona, kanuni za afya ambazo zinatolewa zinapaswa zifuatwe kwani Virusi vya Corona vipo na afya ni muhimu kuuata,” amesema Katwila.

KIKOSI CHA KWANZA CHA OFISA HABARI WA SIMBA AMTAJA MUUAJI WA SIMBA ISHU YA CHAMA, TAMKO LATOLEWA NA SIMBA, YANGA WAJIWEKA KANDO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply