Uncategorized

LUIZ AWAPA PONGEZI MADAKTARI

admin April 25, 2020 7:02 am
DAVID Luiz, beki wa kati wa A

rsenal anaamini kuwa Kwenye mapambano ya Virusi vya Corona kuna umuhimu wa kuwakumbuka wataalamu wa masuala ya afya.

Luiz amesema kuwa watu wa afya wamekuwa wakijitolea Kwenye mambo mengi bila kujali matokeo kwao.

“Wamekuwa wakifanya mambo makubwa na wakati mwingine wakiwa Kwenye hatari wanapambana katika kazi yao.
 “Kitu muhimu ni kuwaombea kwani  wanajihatarisha na hawachoki katika kazi yao, nasi ni lazima kuchukua tahadhari, ” .

YANGA WAPEWA STRAIKA MGHANA, MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI WAMEJIPANGA…KWA SIMBA HII MNACHEZA NYIE..!!

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply