Uncategorized

WAWA ACHEKELEA MAISHA YAKE NDANI YA SIMBA

admin April 27, 2020 7:32 am


PASCAL Wawa, beki kisiki wa Simba amesema kuwa anafurahia maisha yake ndani ya timu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Kariakoo.

Wawa ni miongoni mwa mabeki ambao wamekuwa na uhakika na namba ndani ya kikosi cha kwanza cha Simba kilicho chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa.

“Ninapenda maisha ndani ya Simba tunaishi kwa kushirikiana na kufanya kazi tukiwa ni timu ninaona kwamba bado ni sehemu salama kwangu.

“Soka la ushindani nimecheza kwa muda mrefu na timu nyingi hivyo kwa sasa bado nipo Simba na maisha yanaendelea,” amesema.

MANCHESTER CITY YAPELEKA TUZO LIVERPOOL CR 7 HATMA YAKE NDANI YA JUVENTUS IPO NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply