Uncategorized

MANCHESTER CITY YAPELEKA TUZO LIVERPOOL

admin April 27, 2020 7:02 am


KEVIN de Bruyne staa wa Manchester City amesema kuwa tuzo ya mchezaji bora wa msimu iende Liverpool.

Mpishi huyo wa mabao akiwa na pasi 16 za mabao amesema Sadio Mane anastahili kusepa na tuzo hiyo kwa msimu huu wa 2019/20 ambao kwa sasa umesimama kutokana na maabukizi ya Virusi vya Corona.


 “Kama mtu akaniuliza ni nani anafaa kuwa mchezaji bora Kwenye Ligi Kuu England msimu huu nitasema Mane amefanya kazi kubwa,”.

GSM YAANZA NA NYOTA HUYU,NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU WAWA ACHEKELEA MAISHA YAKE NDANI YA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply