Uncategorized

TAKUKURU YAMSHIKILIA MWENYEKITI WA ZAMANI WA SIMBA RAGE NA KUMUHOJI

admin May 25, 2020 4:47 pm


TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Tabora imesema ilimkamata na kumuhoji Mkurugenzi wa Voice of Tabora, Ismael Rage ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Simba kwa tuhuma za kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu kaba ya wakati.

 Rage anadaiwa kukusanya viongozi wa CCM wa kata na matawi kwa lengo la kuwashawishi wampigie kura baada ya TAKUKURU kupata taarifa kutoka chanzo cha siri kikieleza kuwa mbunge huyo wa zamani wa Tabora Mjini ameanza kampeni za uchaguzi kabla ya wakati.

Taarifa ya Takukuru inasema Rage ambaye ameachiwa kwa dhamana na uchunguzi wa suala lake utakapokamilika taarifa kamili itatolewa.

SIMBA YAPIGA BONGE MOJA YA MKWARA NDANI YA LIGI MABESTE ATAMBULISHA NGOMA YAKE MPYA NDANI YA MJENGO WA GLOBAL GROUP

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply