Uncategorized

KIPINDI CHA PILI :YANGA0-3 KMC

admin June 7, 2020 2:47 pm


Mechi ya kirafiki kati ya Yanga na KMC Uwanja wa Uhuru kwa sasa ni kipindi cha pili.

KMC inaongoza kwa mabao 3-0 ambayo yalifungwa na Sadallah Lipangile dakika ya 31, bao la pili lilipachikwa na Charlse Ilanfya dakika ya 45 na bao la tatu lilifungwa na Hassan Kabunda dakika ya 65 kwa mpira wa adhabu.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mpambano huu wenye burudani za kutosha.

HILI NDILO BALAA LA NICOLAS WADADA WA AZAM FC KABUNDA AFUNGA BAO LA KIDEO WAKATI YANGA IKILALA KWA MABAO 3-0

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply