Uncategorized

KMC KUTESTI MITAMBO YAKE MBELE YA SIMBA LEO

admin June 8, 2020 10:47 am


BAADA ya jana KMC kushinda mabao 3-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru, leo Juni 8 wanatarajia kukutana na Simba, kutesti mitambo kwenye mchezo wa kirafiki.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mo Simba Arena, uliop Bunju.

KMC inapambana kurejesha makali ya kikosi chake ili kiweze kusalia ndani ya Ligi Kuu Bara.

Hassan Kabunda, winga wa KMC amesema kuwa hesabu kubwa za timu ni kuona wanabaki ndani ya ligi msimu ujao.

MALENGO YA BIASHARA UNITED NI TANO BORA, YAWAOMBA WADAU KUIPA SAPOTI YANGA WATAJA SABABU YA KUCHAPWA MABAO 3-0 NA KMC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply