Uncategorized

AZAM FC SIO WATU WAZURI, WAIPIGA MABAO 2-0 MBAO FC

admin June 14, 2020 6:47 pm


AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Uwanja wa Azam Complex.

Mabao ya Azam FC yalifungwa na Richard Djod dakika ya 49 kwa pasi ya Idd Naldo huku lile la pili likifungwa na Idd Chilunda dakika ya 90+3.

Ushindi huo unaifanya Mbao FC isalie nafasi ya 19 ikiwa na pointi zake 23 baada ya kucheza mechi 30.

Azam FC wao wanajiongezea ufalme nafasi ya pili wakiwa na pointi 57 baada ya kucheza mechi 29.

KISA KUGAWANA POINTI MOJA NA RUVU, SIMBA WATOA TAMKO HILI MASHINE HATARI YASAINI YANGA, SVEN AJA NA MIKAKATI MIZITO, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply