Uncategorized

COASTAL UNION YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MTIBWA SUGAR

admin June 16, 2020 7:47 pm


JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa hesabu zao kwa sasa ni kuelekea mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa Juni 20 Uwanja wa Mkwakwani Tanga.

Mgunda amekiongoza kikosi chake Juni 13 kupindua meza kibabe mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa ligi wakati wakilazimisha sare ya kufungana mabao 2-2.

Mgunda amesema:”Vijana wangu wapo tayari kwa mapambano na nina amini utakuwa mchezo mzuri na mgumu kikubwa ni kwamba tunahitaji pointi tatu.”

SIMBA SC YATIKISA HOTUBA YA WAZIRI MKUU BUNGENI MNYARWANDA YANGA ASHUSHWA KWA MILIONI 40,SIMBA YASHTUKA, NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply