Uncategorized

SIMBA YAPIGA 5 G LEO UHURU

admin June 21, 2020 10:47 am

Verified

SIMBA leo imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 mbele ya African Lyon kwne mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru.

Mabao ya Simba yalifungwa na Ibrahim Ajibu aliyetupia mabao mawili, dakika ya 25 na 30.

Wengine waliocheka na nyavu ni pamoja na Tairone Santos dakika ya 28, Mzamiru Yassin dakika 32 na Deo Kanda dakika ya 87.

Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa sababu kubwa ya kucheza mechi za kirafiki ni kutafuta mechi fitnesi kwa wachezaji wake.

LAMINE MORO ANA KICHWA LAKINI MIGUU IMEMZIDI NGUVU…. JESHI LA YANGA LITAKALOVAANA NA AZAM FC LICHEKI KWANZA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply