Uncategorized

LIVE: MBEYA CITY 0-1 SIMBA

admin June 24, 2020 1:47 pm

Kipindi cha Kwanza
Mbeya City 0-1Simba

Dakika 45 zimekamilika zinaongezwa dakika tatu
Dakika ya 44 Mbeya City wanafanya jaribio haizai matokeo
Dakika ya 39 Chama anapiga faulo wachezaji wa Simba wanaotea
Dakika ya 35 Miraj anafanya jaribio linaishia mikononi mwa kipa wa Mbeya City
Dakika ya 29 Peter Mapunda anafanya jaribio nje ya 18
Dakika ya 23 Simba wanafanya shambulizi kwenda Mbeya City
Dakika ya 22 Mbeya City wanafanya shambulizi linaokolewa
Dakika ya 15 Simba wanaanzisha mashambulizi kwenda Mbeya City
Dakika ya 13 Simba inapiga kona ya Kwanza haizai matunda inaishia kwenye kichwa cha Wawa.
Dakika ya 10 Simba wanapeleka mashambulizi Mbeya City
Dakika ya 5 Goal John John Bocco asisti ya Clatous Chama

Mbeya City wamepiga kona mbili hazijazaa matunda 

MBEYA CITY YAIPIGA MKWARA HUU SIMBA UNAKUMBUKA ZILE HABARI ZA SHONGA KUTUA SIMBA??… SASA MAMBO YAPO HIVI..!!!

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply