Uncategorized

MBEYA CITY V SIMBA NGOMA NZITO LEO SOKOINE

admin June 24, 2020 7:47 am


UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo utapambana kupata pointi tatu kwenye mchezo wao utakaopigwa majira ya saa 10:00 jioni Uwanja wa Sokoine.

Akizungumza na Saleh Jembe,  Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa leo ili kufikia malengo yao ya kutwaa ubingwa.

“Utakuwa mchezo mgumu hilo lipo wazi lakini kikubwa ambacho tunahitaji ni pointi tatu muhimu. 

“Wapinzani wetu Mbeya City wanapambana kushuka daraja Daraja wanapambana kupata pointi tatu hivyo mashabiki watupe sapoti,”.

 Simba ipo nafasi ya Kwanza ikiwa na pointi 75 baada ya kucheza mechi 30 huku Mbeya City ikiwa na pointi 30 baada ya kucheza mechi 30 ikiwa nafasi ya 18.

BREAKING:YANGA YATOA TAMKO KUHUSU MKATABA WA MORRISON FILAMU YA BERNARD MORRISON NI PASUA KICHWA NDANI YA YANGA, GSM WAFUNGUKA ISHU YA MKATABA WAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply