Uncategorized

HIZI HAPA 14 KUMENYANA KUSAKA POINTI TATU

admin June 27, 2020 7:47 am


LEO Juni, 27 mambo timu 14 zitakuwa kwenye viwanja saba tofauti kusaka pointi tatu muhimu.

Mtifuano mkubwa leo utakuwa namna hii :-

 Ruvu Shooting v Namungo, Uwanja wa Mabatini.

Yanga v Ndanda, Uwanja wa Taifa.

Alliance v Coastal union, Uwanja wa Nyamagana .

Mwadui v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mwadui.

Biashara United v Azam FC, Uwanja wa Karume.

Mbeya City v JKT Tanzania, Uwanja wa Sokoine.


Kagera Sugar v KMC, Kaitaba.

Mechi zote zinachezwa saa 10:00 jioni.

BILIONEA YANGA AFUNGUKA MKATABA WA YANGA NA LA LIGA TFF KUWAKABIDHI SIMBA KOMBE LAO KWA UTARATIBU HUU..!!!

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply