Uncategorized

PUMZIKA KWA AMANI MKAPA,TUJIFUNZE KWAKE

admin July 29, 2020 5:47 pm


Anaandika Saleh Jembe:-Picha hii ni funzo kubwa kwetu mimi na wewe ambao bado Allah anatupa zawadi ya kuendelea kuishi.

Inaonyesha Mungu ni mkubwa yetu sote na kweli kila nafasi itaonja mauti. Maana yake hivi tuendelee kuabudu, kuamini lakini kutekeleza yaliyo.

Umeona wengi wamemlilia Rais Mkapa, yako amefanya yanayotulazimisha kuhuzunika na wakati mwingine kulia. Vizuri ukatenda yaliyo sahihi bila ya woga kama alivyofanya yeye na leo ameacha kumbukumbu.

Pamoja na yote, usisahau mkubwa wetu ameandika na kupitisha kuwa kila mmoja wetu NAFASI YAKE ITAONJA Mauti, hivyo vizuri kufanya yaliyo mema kwa usahihi.

RIP BENJAMIN WILLIAM MKAPA.

MORRISON AMEPELEKWA FIFA,SIMBA INA MAJEMBE YA KAZI,KESHO NDANI YA SPOTI XTRA MBAO YAANZA KWA KUCHECHEMEA PLAY OFFS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply