Uncategorized

SAFARI YA NAMUNGO MPAKA KUKUTANA NA SIMBA ILIKUWA NAMNA HII

admin July 29, 2020 11:47 am


TUJIKUMBUSHE safari ya Namungo FC mpaka kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho ilikuwa namna hii:-

Mzunguko wa 64, Namungo FC 1-0 Green Warriors, Desemba 22, Uwanja wa Majaliwa, Lindi.

Mzunguko wa 32 bora, Namungo FC 2-1 Biashara United, Januari 26,Majaliwa Januari 26.

Mzunguko wa 16 bora, Mbeya City 1-2 Namungo FC,Februari 25, Sokoine, Mbeya.

Robo fainali, Namungo 2-0 Alliance FC, Uwanja wa Majaliwa, Juni 30.

Nusu fainali, Julai 11, Sahare All Stars 0-1 Namungo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.


Agosti 2 itamenyana na Simba, Uwanja wa Nelson Mandela

MKWASA AOMBA KUPUMZIKA KUKINOA KIKOSI CHA YANGA MBWANA SAMATTA KUTUA BONGO HIVI KARIBUNI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply