Uncategorized

ISHU YA MAKAZI YA MORRISON WA YANGA NI PASUA KICHWA

admin July 31, 2020 9:47 pm


KAIMU Katibu Mkuu wa Yanga, Patrick Simon amesema kuwa hawajampa makazi mchezaji wao Bernard Morrison ila wanahusika kwenye kumlipia kodi.

Morrison kwa sasa yupo kwenye mvutano na klabu ya Yanga kwenye upande wa mkataba, Morrison anadai kuwa mkataba wake ni wa miezi sita umekwisha huku Yanga wakieleza kuwa ana dili la miaka miwili.

“Morrison hatukuwa tumempa makazi ila tulimwambia atafute nyumba sisi tutalipia kwa hiyo nikisema amehama makazi nitakuwa nadanganya kwa watanzania. 

“Ambacho tunakifanya sisi kwa sasa tunamlipia kodi na mpaka sasa hivi tunafanya hivyo.”

YANGA WAMEAMUA SASA, WAMALIZANA NA MASHINE YA KAZI YA AS VITA VIFAA VIWILI VYASAINI YANGA,SIMBA WAPIGA MKWARA, NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply