Uncategorized

DODOMA FC YASAJILI WAPYA WATATU

admin August 7, 2020 11:47 am

KIUNGO Cleophace Mkandala “iniesta” aliyekuwa anakipiga Tanzania Prisons amekamilisha idadi ya wachezaji watatu wapya ambao wamejiunga na Dodoma Jiji FC kwa mkataba wa miaka miwili.


Pia nyota wengine ambao wamejiunga na Dodoma FC ni pamoja na Michael Chinedu aliyekuwa akikipiga ndani ya Alliance FC pamoja na Seif Karihe wa Lipuli wote wakiwa ni wachezaji huru.

Dodoma FC iliyo chini ya Kocha Mkuu Mbwana Makatta, msimu wa 2019/20 ilikuwa inashiriki Ligi Daraja la Kwanza na imekata tiketi ya kushiriki Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21.
ISHU YA UWANJA ISIACHWE IPITE HIVIHIVI WAKATI UJAO, MABORESHSHO YAENDELEE RASMI YANGA WAACHANA NA WAKONGWE WAWILI, YONDANI NA JUMA ABDUL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply