Uncategorized
Tayari washiriki wameshawasili ili kujua nani ni nani atakayeibuka na tuzo hizo ambazo zinasubiriwa kwa shauku.
HIZI HAPA PICHA ZA BAADHI YA WASHIRIKI WA TUZO ZA VPL 2019/20
LEO Agosti 7 Ukumbi wa Mlimani City ni kilele cha usiku wa Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2019/2020.
Hizi hapa baadhi ya picha za washiriki ndani ya ukumbi:-
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.